Kuna maisha ya ustaa na kuna maisha ya kuigiza kuwa staa – Alikiba Zenji Vibe May 21, 2018 0 Msanii wa muziki Bongo, Alikiba amesema licha ya umaarufu mkubwa alionao ataendelea kuishi maisha ya kawaida ya kutojionyesha (show of... Read more »
Baada ya BET: Rayvanny afafanua ishu ya kubadili muziki ili kunasa tuzo nyingine Zenji Vibe May 21, 2018 0 Msanii wa muziki Bongo kutoka WCB, Rayvanny amesema hana muziki kwa ajili ya kushindania tuzo au kwenda kimataifa bali anafanya kwa ajili... Read more »
Jibu la Hamisa kuhusu tuhuma za ‘kudundwa’ na mama Diamond Zenji Vibe May 21, 2018 0 Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka kuhusu taarifa zilizodai kuwa amepigwa na mama mzazi wa Diamond Platnumz, Sanura Kassim ‘Sandra’. ... Read more »
Baada ya mumewe kutajwa na Harmonize kwenye list ya waliotembea na Wolper, Shamsa akubali yaishe Zenji Vibe May 21, 2018 0 Mugizaji wa Filamu Bongo, Shamsa Ford amesema hana bifu lolote na Harmonize mara baada ya muimbaji huyo kumtaja mume wake Chid Mapenzi ka... Read more »
BASATA WADAI DIAMOND KAITUKANA SERIKALI KUMJIBU NAIBU WAZIRI Zenji Vibe March 23, 2018 0 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Godfrey Mngereza amesema mwanamuziki Nassib Abdul maarufu Diamond amefanya makosa ... Read more »
HAJI MANARA AINGILIA KATI SAKATA LA DIAMOND NA NAIBU WAZIRI SHONZA Zenji Vibe March 23, 2018 0 Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara amefunguka na kumkingia kifua msanii Diamond na wenzake ambao wamekuwa w... Read more »
DIAMOND AELEZA BIFU YAKE NA ALI KIBA ILIVYOSUKWA ‘KUMUUA KIMUZIKI’ Zenji Vibe March 23, 2018 0 Diamond Platinumz amedai kuwa uhasama kati yake na Ali Kiba ulipikwa na chombo kimoja cha habari kwa lengo la kumuondoa kwenye ramani ya... Read more »
LE MUTUZ NAYE AMTOLEA UVIVU NAIBU WAZIRI SHONZA SAKATA LA DIAMOND Zenji Vibe March 23, 2018 0 Wakati BASATA wakimtuhumu Diamond kulewa na umaarufu na kufanya abishane na Naibu waziri ambaye anawakilisha Serikali, bado huko katika ... Read more »
TCRA,MWAKYEMBE KUKOMAA NA DIAMOND 'SHERIA NI YA WOTE BILA KUJALI UMAARUFU WA MTU' Zenji Vibe March 23, 2018 0 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kamati yake ya maudhui inafuatilia mahojiano ya mwanamuziki Nasseb Abdul maarufu Diamond ... Read more »
TCRA YAWALIMA BARUA TIMES FM...KIPINDI CHA DIAMOND KUMPONDA NAIBU WAZIRI SHONZA Zenji Vibe March 23, 2018 0 Kituo cha Redio Times cha jijini Dar es Salaam kimetakiwa kuwasilisha kipindi cha mahojiano waliyofanya na mwanamuziki Diamond Platinumz... Read more »
Mambo ni Motooo!! FILAMU YA "LAANA YA MKE" KUZINDULIWA KESHO IJUMAA MACHI 23 Zenji Vibe March 23, 2018 0 Mwaka mmoja baada ya kuachia Filamu ya ‘Nyama ya Ulimi’ , Bongo Movies Shinyanga wanakuletea Filamu... Read more »
Msami adai kuwa na mashabiki wengi wa kike Zenji Vibe March 20, 2018 0 Mkali wa kudance na kuimba Bongo, Msami Baby anaye-hit na ngoma yake ya ‘Mdundo’ kwa sasa ameeleza kuwa moja ya sababu za kucheza staili t... Read more »
Madee, Dogo Janja kudondosha albamu Zenji Vibe March 20, 2018 0 Wasanii wa Bongo Flava kutoka Tip Top Connection, Madee na Dogo Janja wana mpango wa kutoa albamu ya pamoja. Dogo Janja ambaye amekuwa ch... Read more »
Wananitoa kwenye kundi la hip hop lakini napendwa kuliko wao – Nay wa Mitego Zenji Vibe March 20, 2018 0 Msanii wa muziki wa Bongo, Nay wa Mitego wamejitapa na kujivunia style yake ya muziki anayofanya licha ya baadhi ya wasanii wenzake kumuond... Read more »
Q Boy Msafi afunguka kutumia jina hilo kabla ya kutua WCB Zenji Vibe March 20, 2018 0 Msanii wa muziki Bongo, Q Boy Msafi amebainisha kuwa alianza kutumia jina hilo kabla ya kuanza kufanya kazi na WCB. Muimbaji huyo hapo aw... Read more »
Hizi ndiyo bei za lipstick za Nicki Minaj Zenji Vibe March 20, 2018 0 Sio swagg tu, bali hata kwenye urembo rapper wa kike Young Money Nicki Minaj yupo hii inadhihirisha wzi baada ya kuziachia rasmi bidhaa za... Read more »
Chawa katu hauliwi kwa dole gumba – Diamond Zenji Vibe March 20, 2018 0 Ni kweli ukitaka kumuuwa paka lazima ufanye kazi kwa kuwa ana ‘roho saba’? Basi inawezekana kumteketeza Diamond lazima ufanye kazi pia. M... Read more »
Linah hajutii kupiga picha za utupu katika ujauzito wake Zenji Vibe March 20, 2018 0 Msanii wa muziki Bongo, Linah Sanga amesema kelele za watu kipindi alichopiga picha za utupu katika ujuzito wake hazikuwahi kumuumiza kwa l... Read more »
Rayvanny adai WCB kuna video 13 hazijatoka Zenji Vibe March 20, 2018 0 Msanii wa Bongo Flava, Rayvanny amesema wasanii wa WCB kutoa ngoma kwa mfululizo hakuathiri chochote katika muziki wao na isitoshe wana kaz... Read more »
BAUNSA ANAYEDAIWA KUMUUA MSANII RADIO AKAMATWA Zenji Vibe March 20, 2018 0 Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamatwa na Jeshi la Polisi nchi... Read more »