Sio swagg tu, bali hata kwenye urembo rapper wa kike Young Money Nicki Minaj yupo hii inadhihirisha wzi baada ya kuziachia rasmi bidhaa zake za lipstick sokoni mwezi huu.
Nicki ambaye alitangaza kuachia bidhaa hizo mwezi uliopita kupitia kampuni ya M.A.C amefanya hivyo kwa kuachia aina mbili za lipstick ambazo ni NickisNude na ThePinkprint, zitakazouzwa kuanzia dola 18 sawa na kiasi cha shilingi 40,413.45.
No comments:
Post a Comment