Rafiki wa karibu wa rapper Drake, Anthony Soares maarufu kama ‘Fif’ ameuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana .
Soares ambaye alikuwa rafiki wa rapper huyo ameuwawa na wanaume wawili mjini Toronto nchini Canada kwa kupigwa risasi 10 katika mwili wake.
Mkanda wa video uliotolewa na jeshi la polisi umeonyesha tukio hilo ambalo limefanyika katika eneo analoishi Fif na watu waliofanya tukio hilo ni wanaume wawili ambao bado hawajafahamika.
“A few days ago Drake posted, “RIP to one of our family members … our brother … I still can’t even believe this morning was real. It was a honor to have shared years together and I will always keep your memory alive. Forever Fif”,” ameandika Drake katika mtandao wa kijamii wa Instagram.
No comments:
Post a Comment