Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga kwa niaba ya kamati ya utendaji ameteuwa wajumbe 55 kuunda kamati mbalimbali za kushukhulikia maswala ya Yanga SC.
Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga
Miongoni mwa wajumbe waliyoteuliwa ni Mhomed Nyenge (MW), Baraka Deusdedit, Lawrence Mafuru, Erald Mutalemwa, Abu Faraji na Anthony Mark wakiwa katika sehemu ya Fedha, uchumi na mipango.
Kama hapa wanavyoonyeshwa wajumbe mbalimbali waliyo teuliwa na Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment