Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee amempa pole Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa maneno ya uzushi wanayozusha juu yake ambayo amekuwa akikanusha mara kwa mara.
Mdee ameeleza kuwa kweli amezushiwa huku akisema waliokuwa wakimzushia walifikilia alichotamani kusema ila mazingira sio wezeshi.
Pole sana Mkuu..na kama kweli umezushiwa waliokuzushia walifikiria ulichotamani kukisema, lakini mazingira sio wezeshi…
No comments:
Post a Comment