Breaking

Post Top Ad

Tuesday, March 20, 2018

Azam FC kukipiga dhidi ya Friends Rangers usiku huu


Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kushuka dimbani usiku huu kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Rangers katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
Kikosi cha Azam FC kinachoanza katika mchezo huo leo  hii ni….
16 Razak Abalora
3 Daniel Amoah
26 Bruce Kangwa
6 Agrey Moris
12 David Mwantika
23 Himid Mao (C)
27 Stephan Kingue
18 Frank Domayo
11 Yahaya Mohammed
24 Mbaraka Yusuph
10 Enock Atta
Kwa wachezaji waliobakia watakuwepo kwenye benchi isipokuwa wanne, Salum Abubakar, Shaaban Idd, Joseph Kimwaga na Benedict Haule, ambao ni majeruhi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad